Monday 15 July 2019

NMB FAMILY DAY KAGERA,WAFANYAKAZI WAVINJALI NA FAMILIA ZAO UFUKWE WA KABUARA MARUKU.

Ilikuwa ni siku ya kipekee sana kwa wafanyakazi na familia zao wa NMB Kagera, kwa pamoja walikutana kwa pamoja na kujumuka katika chakula, vinywaji na michezo mbalimbali katika ufukwe wa Kabuara Maruku Bukoba vijijini.Siku hii pia utumika kufamiana na kufurahi kwa pamoja,Wafanyakazi na familia zao walioshiriki siku hii muhimu sana ni wenyeji tawi NMB Bukoba, Missenye,Karagwe na Biharamulo.(Katika picha ya pamoja ni wafanyakazi na familia zao walioshiriki.)
 Wafanyakazi wa NMB wakiwasili eneo la tukio kula Bata.
 Eneo la ufukwe.
 Ni katika miondoko ya kiufukwe ufukwe.
 Kuna wakati unaburudika ili akili ifanye kazi vizuri.
 Kula ni pamoja na kujiamini.
 Mbali na kutoa huduma za kibenki, NMB pia katika michezo wako vizuri. Afcon ijayo mshangaee wakatoka na huku.
 Watu wamepaki michuma yao.Hii ndio yale maneno ya Maisha bora kwa kila mtanzani yanatimia.
 Hii ni kinyamwezi zaidi.
 Haijalishi ni miaka mingapi ujabebwa,NMB inakupa fursa ya kumbeba mkeo awamu ya Tano.
 Watu wanapewa kipaza sauti , wafaamiane.
 Yaani hakuna muda maalum wa kula, unacheza , unakimbia, unaoga, unaongea, badaeee ni msosi.
 yaani hapa ni APTAIT yako tu.
 Watoto pia nao wanaserebuka kivyao.
Cherees NMB Kagera.

Monday 8 July 2019

HATIMAE IMEKUWA ,Mr & Mrs JAFFARY,BONGE LA SHEREHE YA KUPONGEZWA UKUMBI WA LINAS BUKOBA.

 Ni moja ya harusi ya kipee sana kufanyika katika mwaka huu katika Manispaa ya Bukoba,Bw Jaffary na Bi shamila wameamua kutimiza ahadi zao na kufunga ndoa,Hongereni sana maharusi.
 Kamati ya mapokezi.
 Super Mkude na mkewe,familia kwa ujumla wakiingia ukumbini.
 Moderm Mumy wakiingia ukumbini.
Kwa raha zako dada